Happy Birthday Mwenyekiti JF Rock City Wing!!!!!!!!!!!!

Happy Birthday Mwenyekiti JF Rock City Wing!!!!!!!!!!!!

Code:
Love You Sana My wyfee

12491014-i-love-you-with-heart-illustration-for-wedding-design.jpg


Code:
Wenye wivu wajinyongeeee

C.C. Bishanga, Mzee na wote wenye roho ya koroshoooo!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
bora mama umekuja kunitetea
maana dady watu8 mkali kwangu
sijui kwanini sasa nikimleta kwenu mkwe wenu itakuwaje?
si atanifukuza na sime mie niteteee na ingilia kati mama yangu mpenzi

Naona daddy yako anakuwa mkali.... watu8 mume wangu na baba wa watoto wetu.... Mwache mwanao achague ampendaye
 
Last edited by a moderator:
ahaaa kumbe ni hivyo dady, basi huyo ni rafiki yangu pia
kati ya wale 17 nilikuonesha siku ile wakati wa sherehe ya
Jubileee yenu wewe na mama
Naam darling...nilitaka kupewa jibu murua ili nipate kutambua rafiki za wanangu maana nao ni wanangu pia...
 
Hivi unatualika kwenye vigelegele tu,
sherehe kala Bishanga na wapambe wake;
labda uandae pati ya wadau


Hapa ni vigelegela tu. Kula kwenu.

Gharama za maisha zimepanda.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom