Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Last edited by a moderator:
Ahsanteni sana wanawing wote na wadau wenzangu wa JF, napenda pia kuwashukuru kwa salaam njema za birthday mlizozitoa kwangu. Kiujumla naitikia "Ameen". Thathaa meamka thii mnajua tena katotoo nilikuwa melalaaa, ahsanteni sana charminglady, ram, Arushaone, ladyfurahia, Mamndenyi, @Heave on earth, figganigga, Mzee, mwallu, Angel Nylon, Lady doctor, Bishanga.
afu charminglady sema keki tunaikata wapi?ututumie fast jet wengine
happy birthday shostito
atakuwa kasajiliwa kwa mkataba mnono huko.....ma' mkubwa huyu ndugu huwa yupo sana majukwaa mengine, ni nadra sana kumuona haha cc ndio maana unaona anaonekana kimachale saaaaana!!!!!!
una ushosti naye?
atakuwa kasajiliwa kwa mkataba mnono huko.....
wewe wasema dad!
kwani ushosti mpaka huwa jinsia moja?
Hahahaaaa.... Haya bana!!!!