SitakiiiNimekuelewa usijali mke ake Jr wa miondoko ya tunguli
Sawa mwifwa[emoji846][emoji846][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa na Amani carba
Haya bhana nafurah kukuona mpendwaNilipotea kidogo ila nitajitahidi nirudi kama awali
Kwa nini mkuuHa ha ha huyo tena ndio nshaukosa
Shukrani sana mkuu.Mkuu nipo tuu labda skukuu hizi lakini nipo sana humu. Hongera sana mkuu
Asanteh maaHaya bhana nafurah kukuona mpendwa
Keki yako ipo nakusubiri uje uichukueEndelea kujikaushaaaaa
Ahsante sana mkuu, atujalie sote tuvione vizazi vyetu hadi vya 4 kulingana na mapenzi yakeHappy birthday
Mungu akuongeze umri wakuona hadi kizazi chako cha 4 uzee uliojaa hekima na afya njema
Wewe keki yako ni special sio kama ile ya publicEwaaaa haya ndo maneno
Bai ze wei nangoja keki[emoji39][emoji39]
HahahahahaaaaHappy birthday to you Mwifwa. Kama ulikuwa uki gegeda flat screen basi upande daraja na kugegeda misambwanda. hahaha happy bday bro
Kwa nini unakuwa hivyo..Sitakiii
Nipo njiani naelekea kilingen nitakwambia kwann sitakiiiiiiiKwa nini unakuwa hivyo..
Mungu ni mwema.Ni kweli napitwa ila majukumu yakizidi sina budi
Uko poa best?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahahahaaaaa.
Ningemwaiwa sana maji hadi mapovu tunayoyaona humu kwa baadhi ya nyuzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante sana mkuuHappy birthday mkuu
Hahahahaaaa.Nipo njiani naelekea kilingen nitakwambia kwann sitakiiiiiiiView attachment 734306
Upo?Happy birthday Mwifwa
Be healthy and happy bro!!!