Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Kwa nini unakuwa hivyo..
Nipo njiani naelekea kilingen nitakwambia kwann sitakiiiiiii
image_search_1522752910404.jpg
 
Ni kweli napitwa ila majukumu yakizidi sina budi
Uko poa best?
Mungu ni mwema.

Nimefunga ukurasa naanza mwingine tena.

Usijali majukumu yapo tu na jukwaa lipo tu, kila kitu lazima tukipe haki yake.

Mimi pia nimechelewa humu maana nilikuwa busy kutwa nzima
 
Back
Top Bottom