Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Hiki kimalkia ulichoandoka hapa ntakushtaki kwenye mahakama ya wahalifu wa kivita... maana umenifanya nimejing'ata ulimi.

Happy birthday kijana Mwifwa ... tafadhali mwambie Daby naye awe na birthday yake sio kila siku anadokoa birthday za watu
Hahahahahaaaa.

Babu huyu Mr Miller tumpeleke kwa Ras Simba akapigwe msasa kwanza ili anyokee.

Daby ndio zake hizo hatakubali kabisa tukimshauri
 
happy birthday mdogo wangu wa damu rafiki angu kipenzi udug wetu mim na dad hajar ALLAH akupe maisha marefu yatakayompendezea Mola wetu karibun wana jf woteeeeee leo tumeandaaa swadak kidog kwa ajili ya ndugu yetu huyu mahala pa sawadak atalika dada hajar cc hajar njoo utoe mualiko huku
Ahsante sana Dada yangu kipenzi wa nguvu, Allah atujalie sote maisha marefu yenye amani, upendo, na baraka tele.

Sasa ndio muda wa kukata keki imeanza kuwaidia, wapi Davet ajae apange viti hapa ukimbini.
 
Back
Top Bottom