Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahaaaaa.Huu uzi bila picha ni kama chai bila sukari...
Ongeza kijiko kingine usikilizie ladha yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaa.Huu uzi bila picha ni kama chai bila sukari...
Ahsante sana mkuu kaboomHbd mkuu
Ahsante sana mkuu.Hbd mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]feliz cumplianos [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha kweli asee, atuwekee picha ya Mwifwa ndani ya baby diaper [emoji23][emoji28][emoji23]
Ndio mkuu, tarehe kama ya leoMwifwa kumbe ulizaliwa leo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja tuendelee kusubir japo ni ngumu kuliko ngamia kupita kwa tundu la sindano[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaaaa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mimi sio yeye ila ni msemaji wake kwa leo [emoji23]
Ahsante sana mkuu.Happy Bday Kamanda...
Mapambano bado yanaendelea
Ahsante sana Dada yangu kipenzi wa nguvu, Allah atujalie sote maisha marefu yenye amani, upendo, na baraka tele.happy birthday mdogo wangu wa damu rafiki angu kipenzi udug wetu mim na dad hajar ALLAH akupe maisha marefu yatakayompendezea Mola wetu karibun wana jf woteeeeee leo tumeandaaa swadak kidog kwa ajili ya ndugu yetu huyu mahala pa sawadak atalika dada hajar cc hajar njoo utoe mualiko huku
Ahsante sana rafiki yangu wa nguvuHeri ya kuzaliwa Mwifwa