Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Shukrani sana mkuuHappy birthday..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuuHappy birthday..
Karibu sana aisee.Nashukuru sana sana sana mpendwa wangu.
Asubuhi yako ikoje mkuuu?
Hapana. Yalikuwa maandalizi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima aliompatia mdogo wetu Mwifwa.Maandalizi ya kumpokea wifi yenu Moneytalk?
Itakuwa naye alichoka.Hakurudi
Kweli kabisa maana mihangaiko pia inachoshaItakuwa naye alichoka.
Hakika inapendeza kumshukuru Muumba kwa namna anavyotubariki.Hapana. Yalikuwa maandalizi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima aliompatia mdogo wetu Mwifwa.
Huyo ana siku yake. Teh teh
Iko poa kiasi maana nasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa tangu juzi mkuu.Karibu sana aisee.
Asubuhi yangu iko poa kabisa. Sijui kwako?
Furahia.Wooooiiii[emoji134][emoji134]
Sijui nilie ama nicheke[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
Chelewa chelewa...[emoji24] [emoji24] [emoji24]Thad kanambia kuna mtu humu ndo anakubebisha,moyo umevunjika vipande[emoji17][emoji17]
Logic...!Ukiona rafiki yako hakushirikishi kwenye mambo ya muhimu jiulize sana?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
umeongea yote, ili lindo liwe salama linatuhitaji soteAhsante sana popoz na bundiz mwenzangu.
Atujalie sote maisha marefu yenye amani, baraka, upendo ili tuendelee kufamurahi kwa pamoja hasa kule lindoni
Ahsante sana na kwako piaumeongea yote, ili lindo liwe salama linatuhitaji sote
Aman kwako
Ahsante sana mkuuHappy bilated birthday Mwifwa..
Pole mkuu.Iko poa kiasi maana nasumbuliwa na mafua pamoja na kichwa tangu juzi mkuu.
Ahsante sana Beef LasagnaHappy Birthday
Nashukuru sana mkuu.Pole mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naota au nipo ndotoni?