Kamanda uko juu au chini?
Safi, mzigo umepungua sasa?
Kaenda Bariadi kuandaa mashamba...! Haya njoo Basi fast my dear.....!
Safi, mzigo umepungua sasa?
Haya nipe location,chet cha dk uwe nacho kabisa
Aya njoo Hapa kona ya Bwiru utanikuta nimeshika cheti cha Dr kikubwaaaaa!
Kesharudi toka kule alikoenda?
Am watching...:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
hivi mom hili ni fumaniziee.... nishakwambia huyu mwanamke ni noumàaa....
kwetu Mtwara!! huku niko tu!!