Happy birthday my Darling! I love you

Come in..
Its our time, see my wife..

Ngoja nisimame nje hapahapa nimngoje mume wangu ameingia sheli hapo jirani. Nikiingia peke yangu michepuko yangu itanidaka juujuu iwe tabu tena
 
Ngoja nisimame nje hapahapa nimngoje mume wangu ameingia sheli hapo jirani. Nikiingia peke yangu michepuko yangu itanidaka juujuu iwe tabu tena

Ilikuwaje ukashushwa kwenye gari?labda mume wako na yeye ana kamchepuko hapo sheli kakuacha hapo ili wapeane appointment wewe endelea kutumbua mijicho hapo ... ........
 
Ilikuwaje ukashushwa kwenye gari?labda mume wako na yeye ana kamchepuko hapo sheli kakuacha hapo ili wapeane appointment wewe endelea kutumbua mijicho hapo ... ........

Wii acha hizo bhana unaniharibia mudi ya sherehe...hako kamchepuko kametambulishwa kwako nini manake sikuelewi atii....tulikuwa tumeshafika ndo mimi nikamshtua kwamba akajaze mafuta kabisa ili tukitoka hapa nduki....tukafanye yetu nyumbaniπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Haya wewe endelea kuzubaa hapo nje wakati mwenzako anafanya service.Bora uingie tu ndani Khantwe
 
Last edited by a moderator:

shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...
 
Last edited by a moderator:

Lazma kilockiwe aisee
Afu umenanii tena?
 
Last edited by a moderator:
shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...

Nakukumbuka sana jamaa yako na mke wako romantic eyes na mchepuko wako Tumboo..
Sikuipata vizuri location yako!!
We sio wakusahau kabisa...

πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...

Ngoja umesema uko Newala?
Ujue huko ndiyo kwetu, sema mi natoka wilaya ya Tandahimba sehemu moja hivi inaitwa Mkonjowano..
Karibu kabisa na kwa mzee mzima THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…