Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday my Darling! I love you

Come in..
Its our time, see my wife..

Ngoja nisimame nje hapahapa nimngoje mume wangu ameingia sheli hapo jirani. Nikiingia peke yangu michepuko yangu itanidaka juujuu iwe tabu tena
 
Ngoja nisimame nje hapahapa nimngoje mume wangu ameingia sheli hapo jirani. Nikiingia peke yangu michepuko yangu itanidaka juujuu iwe tabu tena

Ilikuwaje ukashushwa kwenye gari?labda mume wako na yeye ana kamchepuko hapo sheli kakuacha hapo ili wapeane appointment wewe endelea kutumbua mijicho hapo ... ........
 
Ilikuwaje ukashushwa kwenye gari?labda mume wako na yeye ana kamchepuko hapo sheli kakuacha hapo ili wapeane appointment wewe endelea kutumbua mijicho hapo ... ........

Wii acha hizo bhana unaniharibia mudi ya sherehe...hako kamchepuko kametambulishwa kwako nini manake sikuelewi atii....tulikuwa tumeshafika ndo mimi nikamshtua kwamba akajaze mafuta kabisa ili tukitoka hapa nduki....tukafanye yetu nyumbani😛😛😛😛
 
Haya wewe endelea kuzubaa hapo nje wakati mwenzako anafanya service.Bora uingie tu ndani Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Ladies and Gentlemen!!

Our friends inlove!!
Leo tarehe 20 November, shansarie mpenzi wangu wa Rohoni na Mwilini anatimiza miaka kadhaa ya kuishi hapa duniani..

I thank God, for her life and our love..
shansarie ni mwanamke wa kweli mwenye vigezo visivyo potezeka..
Happy birthday to you my sweetheart!!

May God add to you more years of happiness and success,

Ndugu zangu na marafiki zangu wa hapa Jf,
Nawaomba wote kwa ujumla wenu Muungane na mimi Kumtakia Heri huyu Mpenzi wangu!!
Leo ni Siku yake...

Marafiki zetu wa Arusha
few to mention Mr Rocky & my wife wako, 'Valentina' na mumeo(hapa sijui utakuja na nani), Arushaone & Lady doctor mkeo..
Erickb52 & ur current wife Chocs
Preta, (huna mume wewe) njoo mwenyewe..
My dearest friend marejesho..
LiverpoolFC Mkuu PakaJimmy na wadau wengine woote..

Marafiki zetu wa Tanga
just Few to mention..
KOKUTONA & ur ex Eli79 karibuni
mamaafacebook karibu, but i will make sure my kifanyio codes will be effectively locked!!
Mkuu wa kaya hiyo babu Dark City karibu sana..
mzee mzima Mwanyasi & ur wife Janeth1..
Karibuni kwa ujumla wenu..

Marafiki zetu wa Mwanza..
Please charminglady help me here!!

Marafiki zetu wa dar na morogoro
nitaje wachache..
utafiti, njoo na miss neddy
even Excel..will be here!!
Ulinzi utaimarishwa..
Ntuzu kama bado uko dar take Khantwe with you..
Asprin babu welcome its the time to meet ur women including mamaafacebook and that white one..
ladyfurahia karibu..
miss chagga, angelita lara 1 warmly welcome!!
Heaven on Earth Honey Faith & Rogie
tinna cute karibuni na niitieni wale wengine..
Mkuu watu8 & ur family..
Madame B amu beverlying salt and the whole crew.. warmly welcome..
kan'tangaze karibu..
Tumboo (moro)
mshana jr

Marafiki zetu wa nje ya nchi..
charty, Viol farkhina Van Diesel
Tyta karibu hata kama uko tz
my big aunt Mamndenyi..welcome
Dodoma..
The secretary come with them..

Mtwara Kwetu!!
MMAHE and Sinziga welcome

Mtoto halali na hela...
ukitoka Kibo upitie hapa..
kabanga uwepo wako ni muhimu sana..

shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...
 
Last edited by a moderator:
shansarie

fanclub.gif
birthday-pilotcat%20%281%29.gif

on behalf of CC CLUB MEMBERS
cc:kiwatengu

Fantastic!! Thank you sana Tyta
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shansarie mwenzaaa ahhhhaha hivi ww kiwatengu hujui cha peke yako n kaburi tu vingine tunashare???? Asprin najua sana ana vimada tele ana michepuko kibao atarandaaaaaa weee lakin jion.ntalala nae halafu hiko kifanyio unachotaka kukilock kwa sababu gani???? We mwambie mkeo akae sawa akazubaaa nampindua.

Lazma kilockiwe aisee
Afu umenanii tena?
 
Last edited by a moderator:
shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...

Nakukumbuka sana jamaa yako na mke wako romantic eyes na mchepuko wako Tumboo..
Sikuipata vizuri location yako!!
We sio wakusahau kabisa...

🙂
 
Last edited by a moderator:
shikamoo broo... japo nimesahaulika ila mimi na Mr Rocky wote wa moshono arusha japo kwa sasa niko jimbo la mheshimiwa George mkuchika aliesahau jimbo lake kimaendeleo...

Ngoja umesema uko Newala?
Ujue huko ndiyo kwetu, sema mi natoka wilaya ya Tandahimba sehemu moja hivi inaitwa Mkonjowano..
Karibu kabisa na kwa mzee mzima THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom