bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Heeeeee jamani na ww umefunga mlango wa chumbani tena ThadKweli bwana, wacha tumpishe...ila mie lindoni siendi maana nina debe 5 za usingizi
Asante sana mkuu ubarikiweHappy birthday to you Moneytalk kipenzi cha Mwifwa, Mungu akujalie umri mrefu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tena ushauri huu umfikie na Birthday Girl
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwifwa money inatikiwa italk kaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakazia hapo kwenye mautamu.
Ila nimejikuta naukumbuka msemo wa wahenga "Kizuri kula na nduguyo" (Mwifwa asione hapa).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bachelorHaki ya nani mapenzi haya ya JF yangekuwa yanatendeka hata huku uswahilini kwetu I swear masingles wote wangepotea kabisa.Hongera mkuu kwa mahaba motomoto Japo hiyo ID ya mpenzi wako inanitisha miye "MONEY TALK" na vyuma hv mhhh!!!
Anyway Happy birthday kipenzi cha Mwifwa
nitakupenda mileleWewe ni wangu pekee kipenzi changu
Nipo Shem Jana na Leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bachelor
nikweli my honeyHahahahaaaaa
Vipo vya kushare ila sio utamu
Thnx sweetheart
haki mwanaume nimepata jamanHahahahaaaaa.
Japo jalada la kitabu mara nyingi huwa linasadifu yaliyomo, pia mara nyingine huwa kinyume chake na inatubidi kukifungua hicho kitabu ili tupate ukweli wake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]πππInabidi Mwifwa aitokee mlangoni isje kwisha kabda haijamfikia mlengwa
Inatosha babyHapo nimekudhihirishia kuwa hili jambo limeanza muda mrefu, huo ujumbe ndio ilikuwa. mara ya kwanza kutambulisha hili jambo public(kwa wana JF)
Sasa unganisha dots mwenyewe
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Fellow Leo.
Congratulations are in order.
Asante sana wifi yangu kipenziSafi sana happy birthday wifi wa jf .....mawifi tunakupenda uishi miaka mingi yenye amani na baraka tele
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Woyooooo .....
Cc: raynavero ...shunie
love u too my wiiiLove you wifiiii
ntaanzaje sasa kukunyima mpenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikupa zawadi unigawie na mm
asante luvHBD le wifi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wahenga hawajawahi kuniangusha katika tasnia ya misemo....kula tu na nduguyo Mwifwa[emoji23][emoji23][emoji23]