Happy birthday my Love moneytalk

Kaka ake shikamooo
 
Hahahahaaaaa.

Japo jalada la kitabu mara nyingi huwa linasadifu yaliyomo, pia mara nyingine huwa kinyume chake na inatubidi kukifungua hicho kitabu ili tupate ukweli wake
 
Unajua kuna jamaa fran iv kamuwish demu wake flan iv watsup mbaya zaid uyu jamaa nilishawai kumuuliza jf unatumia id gan sababu nshamgumia mara kibao akichat ila sijafanikiwa kujua id yake
Basi jitahidi upate ukweli wa hilo jambo
 
Baba wawili kumbe na ww umekuja kula keki kimyakimya[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahahahaaaaa.

Kwa sababu wewe huwa humshtui ndio maana kaja mapema kabla yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…