Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Halafu hufanyi hata juhudi ya kunichomoa kwenye hilo janga😳?
Hahahaaa. Hujajua hapa naandika huku nawaza namna ya kukuchomoa huko. [emoji12] [emoji12]

Usijali bana si wajua mie Mama ushauri basi jiandae kupata ushauri ambao utajiondoa mwenyewe huko hata kama itakuwa taratibu ila najua mwisho wa siku utaacha kabisa. [emoji23]

Ila si kwa kamba hizo Sesten.[emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaaa sawa mama ushauri nasubiria ushauri wako kwa hamu

Hahahaaa, acha utundu😛😛😛
 
ila najua mwisho wa siku utaacha kabisa.
emoji23.png
Tena ushauri huu umfikie na Birthday Girl
 
asante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
Mwifwa money inatikiwa italk kaka
 
Haki ya nani mapenzi haya ya JF yangekuwa yanatendeka hata huku uswahilini kwetu I swear masingles wote wangepotea kabisa.Hongera mkuu kwa mahaba motomoto Japo hiyo ID ya mpenzi wako inanitisha miye "MONEY TALK" na vyuma hv mhhh!!!
Anyway Happy birthday kipenzi cha Mwifwa
 
asante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
Wewe ni wangu pekee kipenzi changu
 
Back
Top Bottom