Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaha yeah ni mbilikimoKumbe Saint Ivuga ni andunje?mbilikimo???
Mbona anaonekana mrefu jamani
Happy birthday to you Innamoratha...maisha marefu,yenye mafanikio yawe kwako kipenzi
Kisa nini tena anakudund?Huyu bibie mkorofi sana.
Inawezekana emmy yangu mama klareee anayoHivi inawezekanaga kaka masai?
[emoji15] [emoji15] kumbe we mdada?Happy birthbday.... espy hebu nipe makobaz yangu mie niende kwenye mnuso
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] jiranHappy Birthday Jirani. Barikiwa miaka Mungu mbeleni.
Thank you babuu
Babu acha uchochezizi ameomba apo makobas ndo mana nkauliza ni mdada?Yani homeboy wangu Kaizer Unamwita mdada???
Omba radhi kabla hajaamka...
Chema kimefadhaishwa sana na hii kauli yan kichochezi. Kwakweli tutahitaji mkojo wako
Hahahahahaaaaa babu bhana
Hahaa ukimuuliza Sky Eclat atakwambia pwani makobazi yanavaliwa na wababa pamoja na kanzu au msuli.[emoji15] [emoji15] kumbe we mdada?