GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Happy Birthday sana Dada na Rafiki wangu humu JF tu Nifah. Pole na naomba radhi kwa kuchelewa kukutakia hiyo kheri yako ya kuzaliwa kwani leo akili zangu zote zilikuwa kwa Kamarada wetu Nape Nnauye na sasa ndiyo ninapumzika. Ole wako na Wewe unisahau kunitakia kheri siku ya kuzaliwa Jumatatu ijayo tarehe 27.
Kumbe na Wewe nyota yako ni Aries ( Ram Riders? ) kama ya Kwangu? Sasa kuna kitu kikubwa, kizuri na cha maana mno kinachotuhusu sisi wenye nyota hiyo nzuri ya Kondoo au Punda ila najua nikikuambia utakuwa unaringa na utamringia mno Mumoe The bold.
Hawa ni baadhi tu ya Watu wenye Nyota kama yetu ukiachia mbali Mimi GENTAMYCINE
Kila la kheri.

- Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere
- Maulid Baraka Kitenge ambaye kimsingi leo mmesheherekea wote birthday yenu japo yeye leo aliamua kuisheherekea kwa kuwapiga biti wale Askari Koko pale Protea Courtyard ambao na Wao walinywea Kwake utafikiri mkate wa Boflo katika Chai.
Kila la kheri.