Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday sana Dada na Rafiki wangu humu JF tu Nifah. Pole na naomba radhi kwa kuchelewa kukutakia hiyo kheri yako ya kuzaliwa kwani leo akili zangu zote zilikuwa kwa Kamarada wetu Nape Nnauye na sasa ndiyo ninapumzika. Ole wako na Wewe unisahau kunitakia kheri siku ya kuzaliwa Jumatatu ijayo tarehe 27.

Kumbe na Wewe nyota yako ni Aries ( Ram Riders? ) kama ya Kwangu? Sasa kuna kitu kikubwa, kizuri na cha maana mno kinachotuhusu sisi wenye nyota hiyo nzuri ya Kondoo au Punda ila najua nikikuambia utakuwa unaringa na utamringia mno Mumoe The bold.

Hawa ni baadhi tu ya Watu wenye Nyota kama yetu ukiachia mbali Mimi GENTAMYCINE

  1. Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere
  2. Maulid Baraka Kitenge ambaye kimsingi leo mmesheherekea wote birthday yenu japo yeye leo aliamua kuisheherekea kwa kuwapiga biti wale Askari Koko pale Protea Courtyard ambao na Wao walinywea Kwake utafikiri mkate wa Boflo katika Chai.
Iheshimu sana hii Nyota yetu ya Kondoo / Punda au Aries the Ram Riders kwani ni nzuri mno na ina baraka zake nyingi tu.

Kila la kheri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Genta bwana?
Tafadhali usichafue tu hali ya hewa maana wewe huchelei [emoji12]

BAN za mara mbili mfululizo ndani ya Wiki moja zimeninyoosha Dada. Sasa hivi hata Mtu akinizingua humu sitakasirika wala kumjibu sana sana nitamwona ni Li bashite fulani tu kisha nampuuza. Tegemea kumuona GENTAMYCINE mpya kuanzia Jumatatu ijayo ambayo ndiyo nami itakuwa ni Birthday yangu. Nitakuwa Mpole kama nimelishwa Dawa ya Kihaya vile ya Shuntama.
 
Siwezi kuisahau siku yako ya kuzaliwa Genta,naikumbuka sana.

Wewe ni mmojawapo kati ya marafiki zangu wakubwa sana,sahau mikwaruzano yetu ya mara kwa mara lakini namshukuru Mungu hatujawahi kufikia hatua mbaya.

Hahahaaaaaa sina jeuri ya kumringia Bold kaka,kwake mimi sina hali...jeuri zangu mwisho JF hahaha

Wooooooow kumbe nimezaliwa siku moja na hayo majembe?
Na hasa Kitenge huwa namkubali sana shabiki yule mwenzangu wa Yanga.
Asante kwa kumbukumbu hii mujarab.

Shukraan Genta [emoji120]

Ohooooooo.... Dada kote umepatia ila hapo ulipoitaja tu Yanga umeshanitibua. Nitakuchenjia sasa hivi...ha ha ha ha ha...!
 
LOL! I did not know about this. I think I read one of your postings few days/weeks after you joined and made a decision to be your follower. The reason behind is simply your wisdom and you have never let me down with exception of .......... you know what I am talking about lol!

You are welcome broh.
Did I ever told you that you are my first follower? [emoji4]
Currently I have more than 60 followers,you'll always be in my JF memories...thank you BAK [emoji120]
 
Thank you my big sister,my sister from Korea
Hahaha,you know I love you always [emoji8]

Shukraan dearest

Awwwwwwww asante mpenzi wangu Lynne,jamani nakupendaaaa yani nakupenda mnooo.
We shall meet...one day
Amen [emoji120]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vizuri kweli sio mchezo [emoji85]
Asante mpendwa wangu [emoji8]
I love u more [emoji8] [emoji8] hope our Korean family wote wamekuja hapa
 
Awwwwwwww Wii umetisha mama,jamani nimejionaje le super wifi sasa? Hahahaaaa

Thank you my Wifi mzurimzuri,I love you and you know bou that...
Be blessed mama [emoji8]
Wiiii ww wa dhahabu sana kwetu mbona mamy,nakupenda piaaaaaaa modo wetu wa ukweliiiiiii, kasura kapole,vimacho vizuri hahahah ngoja nibakize zingine usije anza ringa hahahahaha
 
Kaka baada tu ya utumbuzi shemeji yako kanitulizaje?
Kasema nami zaidi ya lisaa lizima!
Utamuweza Bold alivyo romantic?
Hahahaaaaa

Kanisaidia sana kiukweli maana nilichanganyikiwa!

Tutamalizia broh,soon utaicheza harusi hahaha

BTW nami nashukuru sana kwa uwepo wako ktk maisha yetu kama rafiki na sasa tumekua ndugu sana.
Hivi niliwahi kukuambia? Una roho nzuriiii kama wasemavyo waswahili "wewe ni mzungu"

Asante kwa support yako kwetu The Bold's,ubarikiwe sana.
Aaaww, si kwa kunisisimua huku kwa maneno mazuri sistery, japo nimechelewa kuiona lakini sijutiii nawapenda sana,
ila najua hii umesaidiwa kuandika na shemeji,
Hujafikia huku bibie, mwandiko huu nashindwaje kuufananisha na wa bold?
 
Back
Top Bottom