Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy birthday Nifah, Mungu ni mwema amekuongezea umri ukiwa na afya njema na baraka tele. Unni anakuombea baraka nyingi zaidi na maisha marefu.
Nimemuona shem kama mnamaanisha maana unni hana taarifa,basi nawaombea kila lililo jema na Mungu awafanikishe. Salamu za Unni za Upendo zimeambatanishwa na painting kutoka Goryeo...baraka tele
 

Attachments

  • FB_IMG_1490363879813.jpg
    FB_IMG_1490363879813.jpg
    48.8 KB · Views: 23
Nifah kulikoni tena Shemela wetu The Bold kala tena Umeme ( BAN ) ya fasta fasta hivi? Kumbe Mimi na yeye hatuchekani kwa kuwa Red Carded humu JF? Pole sana Dada yangu. Mods wa sasa wananyoosha tu hawataki ' janja janja ' na ' shobo '.
 
Naona umeamua kunitambulisha wifi kiaina [emoji4] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahaaaa! Mama wa vana vangu huyo.

Mpokee tuu..!
Sister ako mchoyo, hata Karibu hamna.

Unatamani ban sio
Hamna ban huku..! Kwani nifah na the bold wamelalamika?

Yule mleta thread ya kina shunie alienda kulalamika..
 
Back
Top Bottom