Happy Birthday Pascal Mayalla

Happy Birthday Pascal Mayalla

happy belated birthday Pascal.

japo huchelewi kuja kujifaragua 'nilikuwa nimesahau' kama tarehe imeshafika

nitakuletea zawadi ya keki yenye ladha ya pilipili jioni
 
Tarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.

Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
Hivi ni kweli hajaona hili bandiko? au bandiko lina agenda tofauti?
 
Tarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.

Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
Happy birthday mkuu Pasco moja ya watu ninaowakubali kwa maarifa wanayotoa toka kitambo sana hapa jf ,ingawa kuna kenge wapo humu wanamvunjia heshima wananikera Sana.
 
Back
Top Bottom