Tunakupenda pia Mungu akulinde Paw ebu tuma vn niisikie hiyo sauti jamanRafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.
Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.
Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
that's my babe.Naifuata mpenzi kwako sina ujanja wa kupindua...
Mahaba unipayo ni ya 3D umeteka mwili fikra na moyo wangu naanzaje sasa kutokufata agizo lako baba?
nitajitahidi isiume.Wivu sina ila roho inauma
Mkuu nimekutafuta sana aisee naomba mawasiliano PM au nibipu aisee...that's my babe.
ok.Mkuu nimekutafuta sana aisee naomba mawasiliano PM au nibipu aisee...
Umejuaje kama leo ni Birthday ya Paw?Mwongozo gani mkuu?
Shunie naomba ufungukeHappy birthday Paw halaf sijui kwa nini huwa namuhisi na mtu flani acha ninyamaze tu
Safi sana.Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.
Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.
Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
Ndio mimiPaw ndio nani?
Katibu wa itikadi na ueneziKumbe
Una cheo gani humu jamiiforum?
Unaeneza nini?Katibu wa itikadi na uenezi
Sawa.Nimeoteshwa na bwana[emoji4]
Amani na upendo.Unaeneza nini?
SawaAmani na upendo.