Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Tunakupenda pia Mungu akulinde Paw ebu tuma vn niisikie hiyo sauti jamanRafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.
Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.
Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)