Happy birthday Paw

Happy birthday Paw

Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.

Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.

Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
Tunakupenda pia Mungu akulinde Paw ebu tuma vn niisikie hiyo sauti jaman
 
Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.

Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.

Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
Safi sana.

Ndio nilikuwa nataka utie neno maana huyu Valentina simwamini.

Unaonaje niwe msaidizi wako Paw nikusaidie kutwanga wakorofi ngumi za usoni.
 
Amin amin nakuambia usiponiamini mimi hutamuamini yeyote yule [emoji12]
 
Back
Top Bottom