Ndo tabia yake hiyoHajanambiaa
Pedeshee mutu muchoyoMalizia pedeshee lee muntu ya peremende
ThanksThanks Sakayo. Enjoy your special day with your loved ones. [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]
Pedeshee mutu muchoyo
Wewe na dada nawapenda sanaaa![emoji8][emoji8][emoji8]ila rafiki wewe unanifurahishaga sana [emoji2]
Nasi Tunakupenda pia [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Wewe na dada nawapenda sanaaa![emoji8][emoji8][emoji8]
Asante antie...Heri ya siku ya kuzaliwa auntie!!
Mungu akujaalie kila lililo haja ya moyo wako, ila kwa mapenzi yake.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asante sweetie Nifah....Happy birthday sakayo darling,live long.
Auntie si unajua uzee tena!! Nilisahau kabisa kama leo ni j2, kwanini hukuniita? Nisamehe bure. Mkwe nae ajiandae kwa fine maana hakunistua.Asante antie...
Nawe pia barikiwa na Mungu akutunze.....
Hivi Tumegombana anti
Jamaniiii anti akee...Auntie si unajua uzee tena!! Nilisahau kabisa kama leo ni j2, kwanini hukuniita? Nisamehe bure. Mkwe nae ajiandae kwa fine maana hakunistua.
ThanksHappy born day
Shunie ni changamotoKaaah
Bado unakomalia tuu