Happy Birthday Sakayo.

Wala haina shida mbona, ila kuna wakati huwa anapanic kweli lakini akikumbuka utani wa humu anakuwa mpole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maana watu kama saint ivuga kukuambia "silali nakuota hawachelewi!!
 
Hivi transcend mkuu unaweza vipi kumudu kuwa jf Na sakayo,maana MTU anaweza akaropoka.

Aisee stunted hebu piga interview hii couple!
Kawaida mkuu!

Mimi na sakayo tunajifunza kuface challenge...kama ukiogopa changamoto basi utakosa kujua na kujifunza mengi..

The only thing ni kwamba tunajua maisha ya jf na maisha halisi..

Cc: sakayo
 
Kawaida mkuu!

Mimi na sakayo tunajifunza kuface challenge...kama ukiogopa changamoto basi utakosa kujua na kujifunza mengi..

The only thing ni kwamba tunajua maisha ya jf na maisha halisi..

Cc: sakayo
Du mkuu kwa hiyo unayachukuliaje maisha ya jf
 
Kawaida mkuu!

Mimi na sakayo tunajifunza kuface challenge...kama ukiogopa changamoto basi utakosa kujua na kujifunza mengi..

The only thing ni kwamba tunajua maisha ya jf na maisha halisi..

Cc: sakayo
Na huo ndo ukweli.... Changamoto ni lazima ziwepo na kupambana nazo ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…