Happy Birthday Sakayo

Hahahaa. Alipotoka huko sijui kama simu hakuiweka kwapani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana ukiishika mkononi waeza ulizwa kulikoni umeshika simu usiku huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha
Hivi aliificha wapi! Kwapani itaonekana tuu! Ukute kavaa khanga moja
 
ndio maana uko na busara nyingi na hekima kumbe na wewe dada ni wa mwezi huu...

mimi sio wa mwezi huu lkn najivunia nyie dada zangu majiniazi wa huu mwezi.. Shadeeya Clkey Sakayo [emoji3][emoji3]
πŸ₯°πŸ˜˜ sijui mara ya mwisho kusifiwa ilikuwa lini, nitaota leo mie, kama vp hamia kwetu nawe uwe jiniazi
 
maneno mazuri shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…