Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Asante jirani mi zaidi ya kukumis ila tu toka umehama mtaa wetu hata simu hupokei na ile ya ofisini uliyo nipa naona anapokea mfanya kazi mwenzioWaooooooooo miss u mingi mingi [emoji7][emoji7][emoji7]
hahahaha usijali mtaniHahaaa. Nimeona Mtani.
Ifikage basi hiyo Keki mana nko hapa jirani kabisaa. Ukifika niite nije.
Vumilia tuu mpenzi, ndo ukubwa huooAcha tu ndugu
Kwa kweli wacha niwe mvumilivuVumilia tuu mpenzi, ndo ukubwa huoo
Ewaaaaaasantee, nitakupitishia hapo jioni dada angu [emoji3]
Daah! Bora hukuijua.Hahaha hahaha
Jirani mimi wala sikujua!
Nilivyotoka pale nikaenda kibaruani! Sikurudi tena!
Kweli mod walikuwa serious!
Wewe acha tu mpenzi ni kweli nimekuwa adimu majukumu yamenizid mwenzio nilirenew number mpendwa this time nitapokea usihofu tumekumiss sanaAsante jirani mi zaidi ya kukumis ila tu toka umehama mtaa wetu hata simu hupokei na ile ya ofisini uliyo nipa naona anapokea mfanya kazi mwenzio
(Natania tu jirani)
Akaribie tuuMie nshakukaribisha subiri birthday girl na yy akupe jibu lake na majiniazi woooote
Asante jirani..Karibu sana jirani.
Hahaaa. Hausumbui kabisaaaaa Mtani.hahahaha usijali mtani
Sikuhizi mtandao hausumbui apo
au mda wake wakusumbua bado
Hahaha hahaha hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana jirani.
Asante jirani kwa kunitoa hofu kwa sasa nami nimehama niko pale juu kwa rafiki yangu mwifa ila najiandaa kuhamia mtaa wenuWewe acha tu mpenzi ni kweli nimekuwa adimu majukumu yamenizid mwenzio nilirenew number mpendwa this time nitapokea usihofu tumekumiss sana
Hamia saivi tuanze kukuwishnasubiria hapa...vibali vikifika 5 tu nahamia leo leo hata iwe usiku wa manane, niwe jiniazi na mimi [emoji3]
Ewaaaaasaafi