Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Asante jirani mi zaidi ya kukumis ila tu toka umehama mtaa wetu hata simu hupokei na ile ya ofisini uliyo nipa naona anapokea mfanya kazi mwenzio

(Natania tu jirani)
Wewe acha tu mpenzi ni kweli nimekuwa adimu majukumu yamenizid mwenzio nilirenew number mpendwa this time nitapokea usihofu tumekumiss sana
 
Back
Top Bottom