Pole shem..utakula vingine unavyopenda.Shem mm mdudu silagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana mambo huyu rafiki yako..akili zake anazijua mwenyewe..lakini nampenda hivyo hivyo.
NdiwoooPole shem..utakula vingine unavyopenda.
Ushindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sanaπ hakuna linaloshindikana kwa kakaππ ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDIHahahhaha jamani halafu kaka angu kweli anaonekana bahili
Ushindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sanaπ hakuna linaloshindikana kwa kakaππ ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDI
Hahahah ngoja kwanza nijiandae kisaikolojia kabla sijafanya hivyo.Hahahhaha shem inabidi umuhuck
Na case yangu mimi je?π
hanaga kona kona kaka yenu mimi.Hahahhahahah kaka yetu huyo
Basi kesho poaMdudu sili dada na kesho nipo free na kesho kutwa
Eti eeehhNajua mm unavyompenda
Shida zako kwangu huwa zinatatuliwa ukiwa dom tu, njoo idodomiyaπ