Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Hahahhaha jamani halafu kaka angu kweli anaonekana bahili
Ushindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sana🙂 hakuna linaloshindikana kwa kaka😀😀 ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDI
 
Hahahhahahah kaka yetu huyo
 
Back
Top Bottom