Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole shem..utakula vingine unavyopenda.Shem mm mdudu silagi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana mambo huyu rafiki yako..akili zake anazijua mwenyewe..lakini nampenda hivyo hivyo.
NdiwoooPole shem..utakula vingine unavyopenda.
Ushindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sana🙂 hakuna linaloshindikana kwa kaka😀😀 ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDIHahahhaha jamani halafu kaka angu kweli anaonekana bahili
Ushindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sana🙂 hakuna linaloshindikana kwa kaka😀😀 ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDI
Hahahah ngoja kwanza nijiandae kisaikolojia kabla sijafanya hivyo.Hahahhaha shem inabidi umuhuck
Na case yangu mimi je?🙄
hanaga kona kona kaka yenu mimi.Hahahhahahah kaka yetu huyo
Basi kesho poaMdudu sili dada na kesho nipo free na kesho kutwa
Eti eeehhNajua mm unavyompenda
Shida zako kwangu huwa zinatatuliwa ukiwa dom tu, njoo idodomiya😕