Happy Birthday Sakayo

Anything for u till infinity babe.
 
Khaaaaa

Kwahiyo mm sitakiwi kukupokelea zawadi
 
U r welcome mtoto mzuri,wewe ndio wa kunificha sema ndio ushawaiwa
Unaiwahi keki au unakuja nayo jamani!

Nani huyo kakuchunia eti, nimuombe msamaha?!
Keki nitaikuta huko [emoji2],mimi mgeni,yupo mtu kanichunia
Beba keki jamaniii!
Maji ya kunywa utayakuta!

Mungu hapendi kuchuniana jamani!.

Wewe uliyemchunia Mgagaa na Upwa niko chini ya miguu yako! Naomba umsamehe, anateseka sana na hakuna kitu kibaya kama mtu kuishi bila amani! Please naomba umsamehe!
Hahahahah mm mbona sijamchunia
 
Like kosa lako la kuniambia tuwe tunasalimiana PM kumbe Pm umefunga, nimekusamehe.
Usirudie tena.
 
Amen....ila mwambie Shunie asiishie tu kwenye maneno jamii forum akubless hata na roundtrip ticket ya mauritius

maana nimeona mkoba wake tu ni bei ya ticket ya dubai [emoji23][emoji23][emoji23] Shunie mtu mzito kweli kweli
Hahaha hahaha hahaha
Hapo naomba unisaidie kumwambia!

Hilo neno uloandika ni huku duniani ama ni sayari nyingine insta babe ake shunie?!
hahaha... bila shaka ntamwambia maana najua uwezo anao sema anataka kukubania tu.... [emoji23]

neno gani tena dada sakayo [emoji23][emoji23]
Nitashukuru sana mimi jamani!
Hebu mwambie na mie nikaoshe mecho!

Hili ulotaja sio Maurine hata sielewi kabisaaa insta babe ake shunie
hahahaa.... sawaaaa ntamwambia

aaaaah hako si kale kakisiwa /nchi ni holiday destination nzuri sana me mwenyewe niliiona insta kwa Shunie [emoji23]
Hahaaa

Insta babe umeanza ujue ebu nipeleke uko nikaoshe macho
 
Hahhaha nimejipa ruhusa mwenyewe
Kama mchepuko wake umeshindwa kumuwish unategemea nani amuwish kama sio mm ndg yake
 
Happy birthday dearest one[emoji8][emoji3590]
Umezaliwa mwezi mzuri[emoji7]
Mwenyez Mungu azidi kukupa heri ,hekima na maarifa uzidi kumpendeza yeye na wanadamu
 
Happybday nasubiri keki hapaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Natamani hii bday ingekuwa kama mwaka jana jamani tulivyosherehekea pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…