Happy Birthday Sakayo

Nimewaza cha kuandika ila nikakaumbuka shunie kaandika kila kitu

Mimi niseme tu uarafiki ni zawadi tunayo pewa na mungu

Undugu ni muunganiko wa urafiki

Kuaongeza miaka hakukupi unafuu wa furaha ila unakupa funzo namna ya kuishi na wengne

Na kufanya ibada zaidi ya uliko toka na kuongeza juhudi za toba zaidi

Kuongeza miaka sio sherehe ila darasa huru na kumbukumbu ya uliko toka

Chukua muda wakutafakari nini itende nini uaache maana duniani tu wapitaji kama tunavyo soma katika vitabu vya imani zetu

Mi niseme tu mungu akuongezee miaka ya kutosha ili uweze kujifunza zaidi na wengne wajifunze kwako na uwe sehemu ya historia ya wengne kwa mema watakayo jifunza kwako

Hongera ya kuongeza miaka
 
To sakayo..
Take your time and listen this song please! huu wimbo unakukumbusha kusudi lako la wewe kuletwa hapa duniani,na ufanyeje ili kutekeleza hilo kusudi la aliyekuumba.
Jitahidi usiishi mbali na mpango/kusudi lililofanya wewe uje hapa duniani siku na tarehe kama ya leo
 

Attachments

Asante sana dear!
Nakuahidi nitausikiliza! Na maudhui yaliyopo nitayafanyia kazi
 
HAPPY BIRTHDAY MWANANGU SAKAYO MUNGU AKUTUNZE LOVE YOU[emoji7][emoji7]
 
Nasikia kulia kaka! ..
Asante sana dear kaka, barikiwa mno jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…