Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beba keki jamaniii!Keki nitaikuta huko [emoji2],mimi mgeni,yupo mtu kanichunia
Hahaha hahaha hahaha
hahaha... bila shaka ntamwambia maana najua uwezo anao sema anataka kukubania tu.... [emoji23]Hahaha hahaha hahaha
Hapo naomba unisaidie kumwambia!
Hilo neno uloandika ni huku duniani ama ni sayari nyingine insta babe ake shunie?!
Nitashukuru sana mimi jamani!hahaha... bila shaka ntamwambia maana najua uwezo anao sema anataka kukubania tu.... [emoji23]
neno gani tena dada sakayo [emoji23][emoji23]
hahahaa.... sawaaaa ntamwambiaNitashukuru sana mimi jamani!
Hebu mwambie na mie nikaoshe mecho!
Hili ulotaja sio Maurine hata sielewi kabisaaa insta babe ake shunie
Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini unanivumilia kwa vyote.
Tuna uchizi mwingi unaofanana [emoji1787][emoji1787]
Asante sana jf kwa kunikutanisha na sakayo wangu amekuwa zaidi ya rafiki kwangu tumekuwa zaidi ya ndugu [emoji847][emoji847]
Happy birthday sakayo wangu kaziwanda ka mama....Mungu wangu azidi kukuweka tu na kukulinda na akufunike kwa Damu ya Yesu, akubariki katika biashara zako na kazi yako na familia yako [emoji120][emoji120]
Nakupenda tu mimi leo, kesho na milele [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
MITHALI 14:1-2 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba, Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe, yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana bali aliye mkaidi ktk njia zake humdharau [emoji120][emoji120]
View attachment 1124133
Na wewe karibu kwenye urafiki wetuHeri ya siku ya kuzaliwa Bibie
Mola azidi kuubariki urafiki wenu.
Asante sana jamanii mchepuko wangu wa kudumu!Nani kakupa ruhusa ya kuuanzishia uzi mchepuko wangu wa milele?
Sakayo darling hebu mpitie dadaako Sky Eclat mkuje pande hii tufanye utatu mtakavitu kwenye hii siku muhimu sana kwa familia yetu.
Wakati mkiwa njiani ujue kabisa niko bize kukuombea maisha marefu yenye furaha, amani, mafanikio na upendo. Yaani ubarikiwe mpaka uombe poo
Happy birthday mchepuko. Grow wise.
Anisamehe kwa kweli huko alikoBeba keki jamaniii!
Maji ya kunywa utayakuta!
Mungu hapendi kuchuniana jamani!.
Wewe uliyemchunia Mgagaa na Upwa niko chini ya miguu yako! Naomba umsamehe, anateseka sana na hakuna kitu kibaya kama mtu kuishi bila amani! Please naomba umsamehe!
AbeeeeeeeHahaha, nasubiri ruhusa yake nijibu hilo swali
Cc: Sakayo
Amen amekusamehe hakikaAnisamehe kwa kweli huko aliko
Afadhali... Nikahisi mchepuko umepata mchepuko....Ni kwa nani mwingine zaidi yako Babu?