Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ukifika kwa mwifwa Nipigie nije tuungane kusalimiaHamna shida nilimpangiaga safari Mwifwa mim na dadie @shadeey ratiba zetu zikaparaganyika kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika kwa mwifwa Nipigie nije tuungane kusalimiaHamna shida nilimpangiaga safari Mwifwa mim na dadie @shadeey ratiba zetu zikaparaganyika kabisa
We umeanza lini uchochezi jamanii
hapana watuombe msamahatechnically yes, mimi na wewe ni vilaza [emoji28][emoji28]
Yabidi nishukuru kabla.Usijali wewe ni moja ya mameneja watarajiwa
hapana watuombe msamahatechnically yes, mimi na wewe ni vilaza [emoji28][emoji28]
Sawa naanda kiwanda cha kuchakata mafenesi naomba tuandikishe mkatabaNdiwooo
Happy born day kaka! Mungu akupe miaka mingi yenye furaha tele jamani2 [emoji111]
3 [emoji108]....to go
Ene wei hepi besidei tu yu zakayoHapana mkuu! But utakuwa kilaza if you wishes for it.
Hakuna shida jiran angu wa faidaUkifika kwa mwifwa Nipigie nije tuungane kusalimia
sio uchochezi dada, huyo babu tatizo ana mikwara sanaWe umeanza lini uchochezi jamanii
Itume kwenye mpesa hebu!Happy birthday
Zawad nampa nani
Nna ka buku hapa
ngoja kwanza chief, utakichefua kinini?hapana watuombe msamaha
Ntakichafua sasa hivi
Teh ...
Hepi besidei tu ha
Laiti ningekuwa nyumbani, ningekuandalia zawadi yako ili nikupatie, lakini bahati mbaya niko mbali na nyumbani, kibaya zaidi siwezi kufanya hata miamala yoyote.[emoji17][emoji17][emoji17][emoji2954]Dear keki inatoka kwako, ndo naisubiria mimi jamaniii!!
Asante sana kipenzi! Nakumiss ujue
Mimi niko miaka ya ujana kabisaaa... 28Et we zakayo
Umefikisha miaka mingap
Kuna masai ipo inaniulza hapa
Really! kumbe keki bado haijaliwa basi usijali jiandae kupokea ndafu, keki acha akuletee Shunie.Dear keki inatoka kwako, ndo naisubiria mimi jamaniii!!
Asante sana kipenzi! Nakumiss ujue