Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Ulikuwa utani tuu wee....hivi ukiachia dudu kuna kitu tamm kama biaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu nimekumbuka Mimi na Sakayo tumezaliwa mwezi mmoja...kwahiyo zawadi nitampa siku ya besidei yangu...oh yeah
Khaaaa
Umeanza wizi rafiki
 
Ulikuwa utani tuu wee....hivi ukiachia dudu kuna kitu tamm kama biaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu nimekumbuka Mimi na Sakayo tumezaliwa mwezi mmoja...kwahiyo zawadi nitampa siku ya besidei yangu...oh yeah
Hahahah ww ni chizi jamani ila dudu tamu jamani

Zawadi imeshahama tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona mahaba yako kwa hawa watu ni overkind kama sio exceptional, niliwahi kuwa na mmoja mimi blunder niliyoifanya mimi wuuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ebu tuambie wii mm hawa watu nawapenda lakini nawaogopa sana kutokana na mambo zao tatizo wahuni sana
 
Back
Top Bottom