Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Hapana huwaga najitungia my SisterOoh kumbe zile unaletaga ni story bibi akikwambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana huwaga najitungia my SisterOoh kumbe zile unaletaga ni story bibi akikwambia
Amen asante namshukuru sana Mungu kwa ajili yake,ubarikiwe nawe pia[emoji120]Hongera sana mama Shunie
Sasa pic zetu ili ugundue ninii
Ooh safi baby boy we nenda nap hivyo hivyo na kuwatungiaHapana huwaga najitungia my Sister
[emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7] bless u momAmen asante namshukuru sana Mungu kwa ajili yake,ubarikiwe nawe pia[emoji120]
Hakuna single lady hapa mkuu wote typo na waume na wajukuu juuNichague yupi wa kuchat naye ili nichukue mzigo jumla siku za mbeleni.
AbeehAiseeee
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7] bless u mom
nimechelewa hbd my best friend shunieMungu ni mwaminifu mnoo!!!!
Tarehe na miezi ka ya leo miaka kadhaa ulopita alizaliwa binti mrembo, mpole kiasi, mwenye roho yake tulivu Shunie!!!!
Mungu azidi kukulinda mdogo wake mie, nakupenda na wewe unajua hilo.... Sina la kukulipa kwa wema wako tangu nkufahamu we mtoto!!!! Zaidi namuomba Mungu azidi kunitunzia mdogo wangu Mimi.... Mungu akupe kila lenye kheri akuondolee maradhi uwe na amani na furaha daima!!!!!![]()
Furahia siku yako ya kuzaliwa my dear Shunie![]()
Hongera mnoo kwa kuzidi kuusogelea uzee mdogo ake Sakayo!!!!!
Happy Birthday mamy....!!!!!!!!
Asante lakin nimewaona kule mnanisakamaOoh safi baby boy we nenda nap hivyo hivyo na kuwatungia
Teh lizame mara ngapi sasaHappy Belated Birthday
jua linazama hilo
Kheee usije ukatujia usiku [emoji114] ujue mmezidi na story zenu za kutunga jamanAsante lakin nimewaona kule mnanisakama
Asante dearnimechelewa hbd my best friend shunie
Daah hilo neno "lizame" linanipeleka mbioTeh lizame mara ngapi sasa
Kwa nini tena mbalizi mbio hizo vipiiiDaah hilo neno "lizame" linanipeleka mbio
Jifanye kama vile umefungua tu jf kisha moja kwa moja unakutana na comment ' lizame mara ngapi sasa'! Uuuuuhhhh kunnogeaaaKwa nini tena mbalizi mbio hizo vipiii
Ahahahhh lizame umri bana sip hivyo unavyofikiriaJifanye kama vile umefungua tu jf kisha moja kwa moja unakutana na comment ' lizame mara ngapi sasa'! Uuuuuhhhh kunnogeaaa