Shunie mbona unanizeesha mapema? Eti Karma hapendi, si uongo huu..
Mweeh nani huyo etiWeeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahahha wapi eti nataka gari mimi mechoka kutembea na leseniUnakwama pale juu
Khaaah!! Umeanza kunisingizia[emoji134][emoji134][emoji134]Mimi nawajua wengi, ila nazidi kuwa mvumilivu tu. Tatizo ni ile kitu napata kutoka kwako.
@Jael wangu!!Unamuibia nani eti jamani kaka!
Aintie usijifanye huna macho.Mweeh nani huyo eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kingozi eti
Hapa nilipasubiri sana, ngoja niendelee kusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Habari za wewe eti jamani [emoji1780]