Sawa mdogo wangu mzuri mzuri jamaniHabari za wolidi kapu,, ila umeshanifafanulia basi nimeshaelewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie huniibii maana nakujua wizi wako wooote.@Jael wangu!!
Aah kama yule hana madhara! Nitaendelea kuvumilia hata ukimtaja.Khaaah!! Umeanza kunisingizia[emoji134][emoji134][emoji134]
Ni wewe tu na yule nilommiss.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Nakazia!!
Yuko wapi eti jamaniHuyu alinitelekeza, sikuku ilivyoisha ndio akarudi. Yule anko wako sasa ndio wa ukweli, shida zangu za kiroho,kimwili na kiuchumi alikuwa anamaliza zooote. Huyu mpare maneno tuuuu[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji87]Sasa jamani nyie wanaume nioneeni huruma na miaka hii 40 hata mume sina atokee basi wa kunionea huruma aniwowe na mimi nichezewe kwaito [emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya hadi nicheke kwa nguvu muone vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wote tuseme amina. Mimi napenda hadi najizua, manake nisipoangalia nafwaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo, wamekuwa wahunii siku hizi. Eti nao wanakaa vijiweni ukipita wanakukonyeza [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah kama yule hana madhara! Nitaendelea kuvumilia hata ukimtaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Qatar na treni dada?? Naona ushatuchoka!!
Sent using Jamii Forums mobile app