Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Huyu alinitelekeza, sikuku ilivyoisha ndio akarudi. Yule anko wako sasa ndio wa ukweli, shida zangu za kiroho,kimwili na kiuchumi alikuwa anamaliza zooote. Huyu mpare maneno tuuuu[emoji134][emoji134][emoji134]
Yuko wapi eti jamani
 
Kaka wa damu, hata akikaa vibaya naangalia pembeni hahaha!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniii jamanii kaka, daaahh
 
Wapo, wamekuwa wahunii siku hizi. Eti nao wanakaa vijiweni ukipita wanakukonyeza [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko tena jamani nami nikapite wanikonyezee
 
Back
Top Bottom