Happy birthday Smart911

Happy birthday Smart911

Smart ukiacha ujinga wa hizo comments za kiwaki na ukatoa maoni kamili unaweza kiwa nyuki na sio nzi. Jirekebishe bro. Kama unaogopa bora uka mute tu asee maana kuna muda huwa unaharibu kwa kusema "ngoja waje wakupe muongozo" "mambo yao waachie wenyewe".

Huo ni ukuda. Kama huna positive contribution kula gunzi arif.

Heri ya siku ya kuzaliwa bro.
Tatizo sisi tunaoandika essay ndio hatupendwi.
Jamaa akiandika Inapendeza.... Imeisha hio, sasa mie na essay ya maneno 3000 na manzi sipati, ngoja nanze ku copy uandishi.
 

Attachments

  • Screenshot_20240715-104606~2.jpg
    Screenshot_20240715-104606~2.jpg
    27.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom