Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Duh kwahiyo wewe ndio smartKwani hizo koments zina madhara kwa yoyote ???
Acha kukompliketi kihivo aseee!
Much more years to him.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwahiyo wewe ndio smartKwani hizo koments zina madhara kwa yoyote ???
Acha kukompliketi kihivo aseee!
Much more years to him.
Hakuna shida wacha watoe maoni yao hayazuiii wala kubadili chochote!unayatafuta ndugu...😂
Tatizo sisi tunaoandika essay ndio hatupendwi.Smart ukiacha ujinga wa hizo comments za kiwaki na ukatoa maoni kamili unaweza kiwa nyuki na sio nzi. Jirekebishe bro. Kama unaogopa bora uka mute tu asee maana kuna muda huwa unaharibu kwa kusema "ngoja waje wakupe muongozo" "mambo yao waachie wenyewe".
Huo ni ukuda. Kama huna positive contribution kula gunzi arif.
Heri ya siku ya kuzaliwa bro.
😁😁😄😄😄😄!Tatizo sisi tunaoandika essay ndio hatupendwi.
Jamaa akiandika Inapendeza.... Imeisha hio, sasa mie na essay ya maneno 3000 na manzi sipati, ngoja nanze ku copy uandishi.
Kuna sehemu na sehemu. Sio kila mada unakuwa na comment iko kwa clipboard una paste tu. Huo ni uwakiTatizo sisi tunaoandika essay ndio hatupendwi.
Jamaa akiandika Inapendeza.... Imeisha hio, sasa mie na essay ya maneno 3000 na manzi sipati, ngoja nanze ku copy uandishi.
Ulishaachwa umerudiwa baada ya mchizi kufeli next door na bado unavimba tu. JiongezeHurrraaayyy for my king Hurrrrayy Birthday boy 🎂🍾🍾🎂🎂🎂🎂
Ghaiii.. hebu endaNimetoa maoni kama ulivotoa wewe mkuu hakuna matata!✌️✌️✌️
May his life be filled with blessings na happiness!! Happy birthday to him🎂🎂🎂🎂
mwambie tumezaliwa same monthAmen!!
Umbeya tu hamna kitu hapo.Kuna watu wanajua kupendana![]()
Mahondaw loves you so veri much mamy popote ulipo pokea maua yakooo na barikiwa sana 💋💋 💐💐🌹 🌹🌹🌹!