Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
qummmmaqo
bwana mdogo tafuta pesa uache matusi, dalili za stress kutukana watu usiowajua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
qummmmaqo
njoo na mumeo niwapehela mrembo sawa?bwana mdogo tafuta pesa uache matusi, dalili za stress kutukana watu usiowajua...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Mambo yao waachie wenyewe...Smart ukiacha ujinga wa hizo comments za kiwaki na ukatoa maoni kamili unaweza kiwa nyuki na sio nzi. Jirekebishe bro. Kama unaogopa bora uka mute tu asee maana kuna muda huwa unaharibu kwa kusema "ngoja waje wakupe muongozo" "mambo yao waachie wenyewe".
Huo ni ukuda. Kama huna positive contribution kula gunzi arif.
Heri ya siku ya kuzaliwa bro.
Kwani we bado tu hujajitwalia wakwako hadi sasa?!View attachment 3042786
Hivi mambo haya yanawezekana kumbe humu
ngoja wakuibie dangalako tena😁😁😁😁depooo na lenieWaleee twarukaa priiiiiiiiiihh💃🕺!
Miaka Mingi kwa Smart🎂🎂🎂🍾🎂🎂
Ndugu, napata tabu kununua mbuzi kwenye gunia, kupata mwenza humu inahitaji roho ya forexKwani we bado tu hujajitwalia wakwako hadi sasa?!
Huko siwezi kufika...Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz Mfikishie maua yangu na makiss 💋💋💋Numbie💐💐🌹🌹🌹!
Block unblock block unblock block unblock 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unawashwa ??Wanawake ndivyo walivyo, nikimchukiza sana hua anasemaga it's no more,its over, finito, adios... lakini ndani ya masaa 24 tunakua tushaurdiana...
Nakuelewa, lakini ukiwa na bahati basi ujue humu unaweza kapata mwenza ambaye utamshukuru Mungu na aliye anzisha JF kwamba imepuka mtu sahihi wa maisha yako.Ndugu, napata tabu kununua mbuzi kwenye gunia, kupata mwenza humu inahitaji roho ya forex
Ameeenn!! Kila la kheri kwa wenzi walokutania humu!Nakuelewa, lakini ukiwa na bahati basi ujue humu unaweza kapata mwenza ambaye utamshukuru Mungu na aliye anzisha JF kwamba imepuka mtu sahihi wa maisha yako.
Mimi ninaushahidi na hili na sina shaka nalo kabisa.
We unamfundisha mtu namna ya kutumia mali yake? huu nj utovu wa nidhamu kaka 🤣
Nyie vijana mnarukaruka sanaWe unamfundisha mtu namna ya kutumia mali yake? huu nj utovu wa nidhamu kaka 🤣
Mkuu umenipa nguvu hili ntalifanyia kazi kwa utaratibu maalumNakuelewa, lakini ukiwa na bahati basi ujue humu unaweza kapata mwenza ambaye utamshukuru Mungu na aliye anzisha JF kwamba imepuka mtu sahihi wa maisha yako.
Mimi ninaushahidi na hili na sina shaka nalo kabisa.