Happy birthday Smart911

Happy birthday Smart911

Smart ukiacha ujinga wa hizo comments za kiwaki na ukatoa maoni kamili unaweza kiwa nyuki na sio nzi. Jirekebishe bro. Kama unaogopa bora uka mute tu asee maana kuna muda huwa unaharibu kwa kusema "ngoja waje wakupe muongozo" "mambo yao waachie wenyewe".

Huo ni ukuda. Kama huna positive contribution kula gunzi arif.

Heri ya siku ya kuzaliwa bro.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Mambo yao waachie wenyewe...
 
Wanawake ndivyo walivyo, nikimchukiza sana hua anasemaga it's no more,its over, finito, adios... lakini ndani ya masaa 24 tunakua tushaurdiana...
Block unblock block unblock block unblock 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unawashwa ??

Mxxxieeeeeeeeww

Una bahati sana nakujibu

Unanijibu kwakua unanipenda

Toa komata yako hapa umenimiss sio bure

Nikumis ili nigundue nini kwendraaaaa kwa wanawake zako hukoo 🤭🤭🤭

Nawe kwendraa kwa vibabu vyako

Babu who which when mxxxieeeeeeeeww 😏😏😏 😕😕😕🤣🤣😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭

True love comes with jealous in it walai Ishi sana love🎂🎂🎂🎂💃🕺🕺!
 
Nakuelewa, lakini ukiwa na bahati basi ujue humu unaweza kapata mwenza ambaye utamshukuru Mungu na aliye anzisha JF kwamba imepuka mtu sahihi wa maisha yako.

Mimi ninaushahidi na hili na sina shaka nalo kabisa.
Ameeenn!! Kila la kheri kwa wenzi walokutania humu!
 
Nakuelewa, lakini ukiwa na bahati basi ujue humu unaweza kapata mwenza ambaye utamshukuru Mungu na aliye anzisha JF kwamba imepuka mtu sahihi wa maisha yako.

Mimi ninaushahidi na hili na sina shaka nalo kabisa.
Mkuu umenipa nguvu hili ntalifanyia kazi kwa utaratibu maalum
 
Back
Top Bottom