Happy birthday Sungura1980

Last edited by a moderator:

pepi pesdei dia sungura! kumbe you are an aquarian pia!!!
 
Na ninahisi nina karama ya kutoa pepo!Na kuombea watu utajiri,bamdogo Kaizer si unaweza kutunza sadaka vizuri?Huyu Rich Woman simuelewi elewi,hasijeakaondoka na mfuko wa sadaka,maana hata sijajua utajiri ameutoa wapi!!

Utajiri wa Rich Woman umetoke kwa malkia wa Sheba, alipoleta dhahabu kwa Mfalme! yeye ndio malkia na ni tajiri naturally!
 
Last edited by a moderator:
Na ninahisi nina karama ya kutoa pepo!Na kuombea watu utajiri,bamdogo Kaizer si unaweza kutunza sadaka vizuri?Huyu Rich Woman simuelewi elewi,hasijeakaondoka na mfuko wa sadaka,maana hata sijajua utajiri ameutoa wapi!!

Usihofu mtoto mzuri huu utajiri ni genuine mm najitole ujenzi wa kanisa pia nipewe kitengo cha uhasibu kwenye kanisa lako....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…