Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Karibu Honey Faith,,,mmmh na keki za siku hizi zinavyofanana!
happy birthday my brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Honey Faith,,,mmmh na keki za siku hizi zinavyofanana!
Thatha Dada Heaven on Earth,mimi theo badho niko mdhogo thijajua kuongea vidhuri,thiwedhi kukuthambulitha!
ukikua nahitaji utambulisho chap chap sana
Thatha Dada Heaven on Earth,mimi theo badho niko mdhogo thijajua kuongea vidhuri,thiwedhi kukuthambulitha!
Wapendwa wana JF ninapoadhimisha siku ya kuzaliwa napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu na ushirikiano mkubwa mnaonipatia.Sitaweza kuwataja wote maana natumia mchina,lakini shukrani za pekee ziwaendee wana JF wote hasa Bantu lady, miss chagga, sister, mwallu, kiwatengu, shansarie, Munkari, Mokoyo, Kaizer, watu8, Madame B, Lady doctor, Arushaone, Asprin, ladyfurahia, Passion Lady, zinc, farkhina, Judgement,, Washawasha,, Tangopori aka weka picha,, Inspector Lady, Baba V, Erickb52, Vallentina, Chocs, DEMBA, Zinduna, utafiti, Heaven on Earth, Mamdenyi, amu, mimi49, Paloma
Jamani ambao sijawataja mnisamehe,nawakumbuka wote,asanteni sana JF
Wapendwa wana JF ninapoadhimisha siku ya kuzaliwa napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu na ushirikiano mkubwa mnaonipatia.Sitaweza kuwataja wote maana natumia mchina,lakini shukrani za pekee ziwaendee wana JF wote hasa Bantu lady, miss chagga, sister, mwallu, kiwatengu, shansarie, Munkari, Mokoyo, Kaizer, watu8, Madame B, Lady doctor, Arushaone, Asprin, ladyfurahia, Passion Lady, zinc, farkhina, Judgement,, Washawasha,, Tangopori aka weka picha,, Inspector Lady, Baba V, Erickb52, Vallentina, Chocs, DEMBA, Zinduna, utafiti, Heaven on Earth, Mamdenyi
Jamani ambao sijawataja mnisamehe,nawakumbuka wote,asanteni sana JF
Mwee...kusoma hujui inamana hata picha huoni??
Ina maana wakati analeta posa hakushirikishwa ama alikuwa kasafiri?
Ila soon atajua tu.
Uyu alikua ughaibuni,na sijui kwann anapenda huko