Happy birthday Sungura1980

Daudi1 na Valentina .......??????!!!!!
 
Pamoja kaka,ingawa nimechelewa kukutakia heri ya sikukuu yako ya kuzaliwa basi bila kupoteza muda napenda kukutakia Happy Birthday For Your Exam,
Nalog off
 
Jamani wapendwa humu ndani leo tarehe 6/2/2014, mpendwa wetu sungura1980, anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Nakutakia maisha marefu na yenye furaha,amani,baraka na upendo.
Enjoy your day!!!
Heri ya kuzaliwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…