Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Sasa kwa nini umeniandama hivyo?Asikudanganye huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini umeniandama hivyo?Asikudanganye huyo
Si useme tuuWapi wewe
Nan wakunimwagia hiyo tindikali?Uwiii umemwita Daudi1 huku?
haogopi tindikali?
Naam my miss miss chagga
Si useme tuu
Why unanizodoa yaani umeniandama toka nilipoanza kumfukuzia huyu bintiWataka niseme nini jamani
Why unanizodoa yaani umeniandama toka nilipoanza kumfukuzia huyu binti
Sema sana wote wakusikie nisije nikaonekana mkorofi bure....mbona unaninong'oneza?Kwasababu naku.....
Sema sana wote wakusikie nisije nikaonekana mkorofi bure....mbona unaninong'oneza?
KaribuNakuja pm
sijakususa mie, wewe siku hizi umekuwa busy mnoza kunisusa
Pamoja kaka,ingawa nimechelewa kukutakia heri ya sikukuu yako ya kuzaliwa basi bila kupoteza muda napenda kukutakia Happy Birthday For Your Exam,Wapendwa wana JF ninapoadhimisha siku ya kuzaliwa napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu na ushirikiano mkubwa mnaonipatia.Sitaweza kuwataja wote maana natumia mchina,lakini shukrani za pekee ziwaendee wana JF wote hasa Bantu lady, miss chagga, sister, mwallu, kiwatengu, shansarie, Munkari, Mokoyo, Kaizer, watu8, Madame B, Lady doctor, Arushaone, Asprin, ladyfurahia, Passion Lady, zinc, farkhina, Judgement,, Washawasha,, Tangopori aka weka picha,, Inspector Lady, Baba V, Erickb52, Vallentina, Chocs, DEMBA, Zinduna, utafiti, Heaven on Earth, Mamdenyi, amu, mimi49, Paloma
Jamani ambao sijawataja mnisamehe,nawakumbuka wote,asanteni sana JF
Heri ya kuzaliwa kwakeJamani wapendwa humu ndani leo tarehe 6/2/2014, mpendwa wetu sungura1980, anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Nakutakia maisha marefu na yenye furaha,amani,baraka na upendo.
Enjoy your day!!!
Happy Birthday sungura1980.
Mungu akupe maisha marefu kaka yangu.
DuuhShemeji hulali.
Duhhh!!!
Happy birthday mshikaji wangu.
Upewe miaka mingi ya raha na mafanikio kibao..
Enjoy sana.
Addition, Bantu lady mambo yashakaa sawa?
happy to see ur wishers to sungura1980.
NaamInasikitisha sana