Happy birthday Sungura1980

Happy birthday Sungura1980

Wapendwa wana JF ninapoadhimisha siku ya kuzaliwa napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu na ushirikiano mkubwa mnaonipatia.Sitaweza kuwataja wote maana natumia mchina,lakini shukrani za pekee ziwaendee wana JF wote hasa Bantu lady, miss chagga, sister, mwallu, kiwatengu, shansarie, Munkari, Mokoyo, Kaizer, watu8, Madame B, Lady doctor, Arushaone, Asprin, ladyfurahia, Passion Lady, zinc, farkhina, Judgement,, Washawasha,, Tangopori aka weka picha,, Inspector Lady, Baba V, Erickb52, Vallentina, Chocs, DEMBA, Zinduna, utafiti, Heaven on Earth, Mamdenyi, amu, mimi49, Paloma

Jamani ambao sijawataja mnisamehe,nawakumbuka wote,asanteni sana JF
Pamoja kaka,ingawa nimechelewa kukutakia heri ya sikukuu yako ya kuzaliwa basi bila kupoteza muda napenda kukutakia Happy Birthday For Your Exam,
Nalog off
 
Jamani wapendwa humu ndani leo tarehe 6/2/2014, mpendwa wetu sungura1980, anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Nakutakia maisha marefu na yenye furaha,amani,baraka na upendo.
Enjoy your day!!!
Heri ya kuzaliwa kwake
 
Back
Top Bottom