Happy birthday to me D

Happy birthday to me D

Pongezi kwako, kila kitu ni hatua, huwezi kufika miaka 100 bila kuanzia siku, miezi, na miaka; kwa siku hii ya leo, wakuchomee nusu mbuzi hapo kwa mangi kwa hisani ya wanajf wote.
That's a lot of nyama mkuu, na inabidi pisikali mmoja anisaidie kuzila.
Thank you Ser
 
Dogo nimemfahamu miaka mingi yeye huwa haongezeki umri tokea 2016 ana miaka 21.
Hahaha huyo atakua ni Daby, ndio huaga ana miaka 22 kila siku. Btw nimeijua jf nikiwa kati ya 14-15 yrs. Nikiwa sijajiunga humu.
 
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.

View attachment 2652344

Kheri ya kuzaliwa mwanangu,Mungu awe upande wako daima,simama uitafute kesho maana maandalizi ni leo

Watu wapo leo kesho na usipokuwepo yao ni maneno ila vitendo vyako vikaongee zaidi ya maneno

giphy.gif
 
Hahaha huyo atakua ni Daby, ndio huaga ana miaka 22 kila siku. Btw nimeijua jf nikiwa kati ya 14-15 yrs. Nikiwa sijajiunga humu.
Hamna wewe ni msanii sana arif. Nilishakusoma siku nyingi. Huwa hauongezeki miaka. Nipe na mimi mbinu nifanyeje niendelee kubaki mdogo?
 
Happy birthday young man [emoji16]
Kila mtu kakuita young man acha na mm niunge tela mdogo wangu[emoji1787]
Huna adabu wewe kwetu usukumani ungpigwa bakola kwa kudharau mwanaume. Preferred & Legit term is Young Adult
[You didn't do the needful though]
 
Kheri ya kuzaliwa mwanangu,Mungu awe upande wako daima,simama uitafute kesho maana maandalizi ni leo

Watu wapo leo kesho na usipokuwepo yao ni maneno ila vitendo vyako vikaongee zaidi ya maneno

giphy.gif
Ahsante san mzee kwa baraka zako. Maneno uliyoongea niliwahi kuandikia mada yake. Pitia usome
 
Back
Top Bottom