Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo nimemfahamu miaka mingi yeye huwa haongezeki umri tokea 2016 ana miaka 21.yaan kwamba umezaliwa mwaka 2000..?! Na ulijoin jf 2016..hiyoo imeenda
That's a lot of nyama mkuu, na inabidi pisikali mmoja anisaidie kuzila.Pongezi kwako, kila kitu ni hatua, huwezi kufika miaka 100 bila kuanzia siku, miezi, na miaka; kwa siku hii ya leo, wakuchomee nusu mbuzi hapo kwa mangi kwa hisani ya wanajf wote.
NipoUpogo bibie??
Hamna wewe ni msanii sana arif. Nilishakusoma siku nyingi. Huwa hauongezeki miaka. Nipe na mimi mbinu nifanyeje niendelee kubaki mdogo?Hahaha huyo atakua ni Daby, ndio huaga ana miaka 22 kila siku. Btw nimeijua jf nikiwa kati ya 14-15 yrs. Nikiwa sijajiunga humu.
Huna adabu wewe kwetu usukumani ungpigwa bakola kwa kudharau mwanaume. Preferred & Legit term is Young AdultHappy birthday young man [emoji16]
Kila mtu kakuita young man acha na mm niunge tela mdogo wangu[emoji1787]
Ahsante san mzee kwa baraka zako. Maneno uliyoongea niliwahi kuandikia mada yake. Pitia usomeKheri ya kuzaliwa mwanangu,Mungu awe upande wako daima,simama uitafute kesho maana maandalizi ni leo
Watu wapo leo kesho na usipokuwepo yao ni maneno ila vitendo vyako vikaongee zaidi ya maneno
![]()