Happy birthday to me Da'Vinci..

Happy birthday to me Da'Vinci..

[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo ndo imekuthibitishia kwamba mie sijazaliwa enzi za nyerere au?
Hilo sio jibu ila nimefurahi kuiona hiyo comment maana nilishasahau kama niliwahi kukutana na uzi wa namna ile.
 
Bahati yako vyanzo vya awali havina data za uhakika, naendelea kukuvizia siku moja nitakuumbua, omba usisahau hili.....
Nikusaidie kiduchu mimi ni mama wa watoi wawili. Wa kwanza yupo darasa la tano. Do the calculation [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati yako vyanzo vya awali havina data za uhakika, naendelea kukuvizia siku moja nitakuumbua, omba usisahau hili.....
Kuna thired ya Daby kama sikosei sikumbuki ilihusu nini ndo nilijipambanua kaitafute [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa Dar mnakera sana.....Kwahiyo unakata keki na kuwalisha wanaume wenzako? Haya mambo ya kike, baada ya kuwalisha keki wanakufanya nini?
 
Back
Top Bottom